KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii anayechipukia katika filamu za
Kibongo, Isabella Fransis ‘Vai wa Ukweli’ anamtafuta ubaya gwiji katika
tasnia hiyo, Aunt Ezekiel kwa kusema anamtamani mumewe.
Vai wa Ukweli bila ya kupindisha maneno amedai kuwa hapati usingizi kutokana na kumzimia Sunday Demonte ambaye ni mume wa Aunt.
Akizungumza na mwandishi wetu, Vai alisema ili kuonesha kuwa
↧