HATIMAYE wale wapenzi waliong’aa hivi karibuni, mwigizaji Tamrina
Mohamed Poshi ‘Amanda’ na Mbongo Fleva, Joseph Rushahu ‘Bwana Misosi’
wanadaiwa kumwagana rasmi
Habari kutoka chanzo ambacho ni mtu wa karibu wa wapenzi hao,
zilieleza kuwa Amanda na Bwana Misosi walishamwagana kimyakimya ikiwa ni
baada ya kushindwa kuelewana kitabia.
Baada ya kuzinyaka habari
hizo, mwanahabari wetu
↧