Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na
mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine
wa mauaji hayo.
Janeth Jackson (32), mkazi wa Moshono, Arusha na
Novatus Elias, walifikishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa
Mahakama ya Wilaya ya Arusha /Arumeru, Devotha Kamuzora, wakisomewa
makosa mawili ya kula
↧