Mwanafunzi wa kidato cha nne,
Flora Athanas (18) wa sekondari Mzindakaya wilayani hapa amejiua kwa
sumu ya panya, baada ya kubakwa na mtu asiyefahamika.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, alisema jana kuwa mwanafunzi
huyo alibakwa usiku wa kuamkia Jumanne yeye na mwenzake, katika chumba
walimopanga, kutokana na kukosekana kwa mabweni katika shule hiyo.
Kwa mujibu wa
↧