Na Kadama Malunde, Shinyanga
MWANAMKE
mmoja Happiness Luhende mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Lubaga katika
manispaa ya Shinyanga, ameuawa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kunyongwa
na mume wake kwa kutumia kamba ya katani baada ya kumtuhumu kuwa
anamsaliti kwa kufanya mapenzi na wanaumme wengine.Tukio hilo
limetokea juzi jioni majira ya saa 12 jioni katika kata ya Lubaga,
ambapo
↧