AGNESS MASOGANGE ATAPANDISHWA KIZIMBANI TENA TAREHE 13 AGOSTI MWAKA HUU
Hatima ya msanii anayeshiriki katika video za wasanii wa muziki wa bongo fleva, Agnes Jerald 'Masogange' na mwenzake Melisa Edward, waliokamatwa Afrika Kusini na dawa za kulevya kesi yao inatarajiwa...
View Article"WAKATI KIKWETE AKIONGOZA KUOMBA KONDOMU KWA OBAMA, MAGAZETI NAYO YALIISHIA...
CHAMA cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kuanza kutoa mafunzo ya kujihami kwa vijana wao maarufu kama Red brigedi kuanzia Agosti mosi, mwaka huu. Akitangaza tarehe hiyo jana wakati wa...
View ArticleWALIOWAUA WANAJESHI WA TANZANIA WATAJWA.....NI KUNDI LA "JANJAWEED"...
WAKATI miili ya wanajeshi saba ikiwa imeagwa jana katika Viwanja vya Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania, imeelezwa kuwa kundi la Janjaweed linaloungwa mkono na serikali ya Sudan ndilo...
View ArticleHUYU NDO MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTRE ALIYEMWAGIWA TINDIKALI
MSHTUKO mkubwa ulijiri Jumamosi iliyopita, ikiwa ni baada ya kusambaa kwa habari za kumwagiwa tindikali, mfanyabiashara mwenye ‘levo’ ya ubilionea, Said Said Mohammed, 42, ambaye ndiye mmiliki na...
View Article"WAGANGA MSITOE DAWA KWA MAJAMBAZI ILI TUSIWAKAMATE....TUPENI DAWA SISI ILI...
Inaripotiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Polisi katika wilaya ya Mufindi, PCD Ambwene Manyasi amewataka waganga wa jadi kuacha mara moja kuwapatia majambazi dawa za kutokukamatwa na polisi, na badala yake...
View ArticleVIDEO: MAKAHABA YAKODISHA JUMBA LA NGONO.....BIASHARA YAFANYIKA MCHANA KWEUPE
Makahaba wamekodisha jumba na kuligeuza kuwa jumba la ngono kwa kuuza ngono mchana kweupe na raha zao. Tukio hilo limetokea katika jimbo la Nyeri, nchini kenya, kitu kilichowafanya wakazi wa eneo la...
View ArticleMJANE ALIYETIMULIWA KATIKA MSIBA WA MWANAJESHI WA JWTZ AJITOSA TENA...
FAMILIA ya Marehemu, Fortunatus Msofe, ambaye ni mmoja wa wapiganaji wa JWTZ, waliofia Darfur, wamemzuia aliyekuwa mchumba wake Amina Juma kushiriki katika mazishi na kumfungia mlango wa nyumba ya...
View ArticleNAY WA MITEGO ASHANGAA KUONA WASHINDI WA BSS WAKIFULIA LICHA YA KULIPWA PESA...
Hit maker wa Muziki Gani, Nay Wa Mitego ametuma salamu kwa mwandaaji ya shindano la Bongo Star Search, Rita Paulsen kuhusu zawadi wanayopewa washindi wa shindano hilo ambayo huwa haiwafikishi popote....
View ArticleVIJANA WAUANA JIJINI MBEYA WAKIGOMBANIA PENZI LA MSICHANA
Mnamo tarehe 21/07/2012 majira ya saa 23:30hrs huko kijiji cha Nkwangu wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, Seni s/o Sandu, miaka 20, Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu aliuawa kwa kupigwa fimbo kichwani...
View ArticlePOLISI WAFANIKIWA KUMKAMATA MVUTA BANGI ANALIYEMUUA MDOGO WAKE KWA KUMKATA...
Jeshi la polisi mkoa wa Singida limefanikiwa kumkamata Elibariki Alphoce (21) mkazi wa kijiji cha Kizega wilaya ya Iramba, anayetuhumiwa kumuua mdogo wake Mariam (9) mwanafunzi wa darasa la pili...
View ArticleNAY WA MITEGO ATANGAZA KUMPIGIA KAMPENI LOWASA KATIKA UCHAGUZI WA MWAKA 2015
Haya ni mashairi aliyoyaandika Nay wa mitego kwenda kwa mtoto wa Rais a.k.a Riz One akimtaka amwambie baba yake kuwa mtwara hawataki korosho, wanataka gesi na pia Lowassa asiache...
View Article'NASUMBULIWA NA FANGASI SEHEMU ZA SIRI....TATIZO LILIANZA MWAKA...
<!-- adsense --> Huyu ni mtanzania mwenzetu ambaye amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuwasha sehemu zake za siri.Leo ameamua kuziweka aibu pembeni na kulianika tatizo lake akiamini kuwa...
View ArticleIRENE UWOYA NA LUCY KOMBA WASHIKANA UGONI
NYOTA wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krrish’ ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kwamba amemshika ugoni msanii mwenzake, Lucy Komba mara baada ya kuziona picha za msanii huyo akiwa na...
View ArticleKAHABA LANASWA LIKIFANYA NGONO KATIKA MAKABURI YA MALAPA BUGURUNI
LICHA ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani watu wengi kuogopa kufanya maovu, jimama anayekwenda kwa jina la Joyce Benson (34), amefumwa akifanya ngono katika makaburi ya Malapa, Buguruni jijini Dar. Joyce...
View ArticleRAIS KIKWETE AINGILIA KATI KODI ZA LINE.....AMEZITAKA MAMLAKA HUSIKA ZIKUTANE...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameagiza Wizara za Serikali zinahusika na kodi na mawasiliano pamoja na makampuni ya simu za mikononi nchini kukutana mara moja...
View ArticleVAZI LA NUSU UCHI LAZUIA NDOA KUFUNGWA JIJINI DAR....PADRI AGEUKA MBOGO NA...
KIVAZI cha ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Peter, baada ya Paroko Msaidizi wa Kanisa hilo, Padri Paulo Haule, kusitisha ibada mpaka mhusika atoke...
View ArticleBEYONCE AUMBUKA BAADA YA NYWELE ZAKE KUNASWA NA FENI AKIWA KATIKA SHOW HUKO...
Jumatatu usiku (July 22) Beyonce alikuwa na show huko Montreal, Canada... Wakati anaimba wimbo wake wa ‘Hallo’ ghafla nywele zake zikanaswa na feni iliyokuwa nyuma yake jukwaani hapo, nina uhakika kwa...
View ArticlePOLISI 117 WATIMULIWA KAMBINI KWA UTOVU WA NIDHAMU
Wanafunzi 117 wa Polisi, wamefukuzwa katika Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi (MPA), kilichopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Waliotupiwa virago na kufutwa kwenye kozi hiyo ni wale...
View ArticleFREEMAN MBOWE ATIWA MBARONI KWA TENA
Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman Mbowe le amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kuwekwa chini ya ulinzi mkali kwa takribani masaa matatu. Taarifa zinadai kwamba,...
View ArticleBAADA YA KUPIGWA CHINI BIG BROTHER, HUDDAH AAMUA KUMALIZA HASIRA ZAKE KWA...
Wengi waliamini kwamba Big Brother imempa fundisho mrembo huyu na kutegemea mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuuuheshimu mwili wake baada ya Video zake za uchi kuvuja...
View Article