SERIKALI YALEGEZA MSIMAMO KUHUSU KODI YA LINE....WAZIRI WA FEDHA AKUBALI...
Wakati Serikali imeeleza nia yake ya kuangalia upya utozaji wa kodi ya kila mwezi kwenye laini za simu za mkononi, imeeleza pia mpango wa kufunga mtambo maalumu ili kubaini malalamiko ya kampuni za...
View ArticleCOMPUTER ZA USHAHIDI ZILIZOTUMIKA KWENYE UWIZI WA ATM ZAIBIWA NDANI YA KITUO...
Siri za wizi uliotokea Makao Makuu ya Polisi mkoani Mwanza zimeanza kuvuja ambapo imebainika kuwa kompyuta aina ya laptop zilizoibwa ndani ya chumba cha vielelezo zilikuwa za ushahidi wa kesi ya wezi...
View ArticleWAVAA VIMINI WAPIGWA MARAFUKU KUINGIA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA
MGANGA Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Dk Ezekiel Mpuya amesema tangazo lililotolewa hospitalini hapo la kuwataka watu kuvaa mavazi ya heshima wanapoingia hospitalini hapo lilikuwa likihusu...
View ArticleSHILOLE ATANGAZA BIFU LA NGUMI BAADA YA SINTAH KUMPONDA KUWA ANAUWEZO MDOGO...
MWIGIZAJI wa kike wa filamu na muziki Bongo zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemtangazia hali ya hatari msanii mwenzake wa filamu na mtangazaji wa televisheni Christina John ‘ Sintah’ kuwa popote atakapomkuta...
View ArticleLADY JAYDEE NA JUMA NATURE WAJIPANGA KUTOA NGOMA YA PAMOJA
Baada ya kumpa shavu The Heavy Weight MC Profesa Jay kwenye joto hasira, Lady JayDee a.k.a Anaconda anaendeleza utamaduni wa kuwapa mashavu wasanii wakongwe na wakali..hivi karibuni alirekodi wimbo na...
View Article"MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UMEKUFA KISHERIA"....HII NI KAULI YA...
Mbunge wa Singida Mashariki akiongea kwa nini anaamini Muungano wa Tanzania umekufa alipokuwa katika kipindi cha Makutano Magic FM kinachoendeshwa na Fina Mango.<!-- adsense -->
View ArticleMAPENDEKEZO YA CCM KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA
<!-- adsense --> Mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wanachama na viongozi wake.UTANGULIZI1.1 Mnamo tarehe 03/06/2013 Tume...
View ArticleLINAH AKANUSHA MADAI YA KUBAKWA USIKU BAADA YA KULEWA
Mrembo na mwanamuziki wa kike nchini, Linah Sanga amezikanusha ripoti zilizosambazwa leo kuwa amebakwa na rapper Kimbunga na kudai kuwa ameshangazwa mno na taarifa hizo. Taarifa hizo zimeanza...
View ArticleMSANII SHETTA AMALIZA BIFU NA BABA YAKE BAADA YA KUZINGUANA TANGU AKIWA NA...
Baraka za mwezi Mtukufu wa Ramadhan zimeitembelea familia ya Baba Qayllah, Shetta Bilal. Baada ya miaka mingi ya maelewano hafifu na baba yake mzazi, leo baba na mwanae wameamua kusameheana Kupitia...
View ArticleJOSEPH LUDOVICK AFUNGUKA....ADAI KWAMBA MATESO YOTE ANAYOYAPATA NI KWA AJILI...
SIKU chache baada ya Mahakama kumuachia kwa dhamana mshitakiwa mwenza wa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, Joseph Ludovick, amefunguka...
View ArticleKILA MTU ANAHAKI YA KUPENDA...." NATAFUTA MPENZI WA KIUME ILI AWE MUME WANGU...
<!-- adsense --> Huu ni mkusanyiko wa maombi ya wadau wanaosaka wapenzi na wake au waume.... Ili kurahisisha zoezi hili, kuna forum imeanzishwa (MZALENDO FORUM ) ambako maombi...
View ArticleASKARI WA JWTZ WALIOUAWA DARFUR KUAGWA LEO MAKAO MAKUU YA JESHI
Askari saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa katika jimbo la Darfur nchini Sudan, wanatarajiwa kuagwa leo kwenye viwanja vya makao makuu ya jeshi hilo. Miili ya wanajeshi...
View ArticleWATOTO WAWILI WABAKWA NA BABA ZAO JIJINI DAR
Ukatili wa kutisha umewakuta watoto wawili wa familia tofauti wakidaiwa kubakwa na wazazi wao huku mmoja akifanyiwa unyama huo na baba yake mzazi na mwingine baba yake mdogo. Habari zilizopatikana...
View ArticleMAJUNGU YAWAFANYA "SCORPION GIRLS" WAZINGUANE
MEMBA wa Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ wametofautiana hadi kufi kia hatua ya kutukanana na kutupiana nguo nje. Mpango mzima ulitokea hivi karibuni...
View ArticleUFAFANUZI KUHUSU BOMU LILILOPIGWA JANA KATIKA MKUTANO WA CHADEMA
Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye...
View Article"WANAOPINGA KODI YA LINE ZA SIMU NI WANAFIKI WASIOPENDA MAENDELEO...
WAKATI Serikali ikiahidi kutazama upya tozo ya Sh 1,000 kwa laini za simu ili kupunguza mzigo kwa wananchi, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema tozo hiyo si ya kuwaumiza wananchi bali mapato yake...
View ArticleUBAGUZI WAZIDI KUIANGAMIZA CHADEMA
UBAGUZI baina ya vyama vya upinzani uliopata nguvu bungeni wakati wa kuanzisha Kambi Rasmi ya Upinzani chini ya Chadema, umeanza kutafuna chama hicho chenye ushawishi mkubwa kuliko vyama vingine vya...
View ArticlePOLISI MKOANI MWANZA YAFAFANUA KWA KINA KUHUSU VIELELEZO VYA KESI...
WATU wasiofahamika idadi yao wanaodhaniwa wezi, wameiba vielelezo katika stoo ndogo ya Kituo Kikuu cha Polisi Kati, Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza baada ya kuvunja madirisha.Tukio la wizi huo...
View Article"ONGEZEKO LA KODI YA INTERNET NI MZIGO KWA WANANCHI"...HII NI KAULI YA TIPSA
CHAMA cha watoa huduma za mitandao (intaneti) Tanzania (TISPA) kimeilalamikia sheria mpya ya kodi na ushuru wa bidhaa hiyo iliyotangazwa hivi karibuni na serikali kwa kusema itachangia ongezeko la...
View ArticlePICHA ZA RAIS KIKWETE ALIPOWAONGOZA WANANCHI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA...
Rais Jakaya Kikwete, mkewe Mama Salma, wakitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliopoteza maisha Jimboni Darfur nchini Sudan...
View Article