MEMBA wa Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Miriam Jolwa
‘Jini Kabula’ wametofautiana hadi kufi kia hatua ya kutukanana na
kutupiana nguo nje.
Mpango mzima ulitokea hivi karibuni Kijitonyama
jijini Dar, nyumbani kwa Isabela ambapo chanzo cha ugomvi huo ni baada
ya Isabela kumsifi a mtandaoni X-memba wa kundi lao, Jacqueline Pentezel
‘Jack wa Chuz’ kwa kununua gari, ndipo
↧