Ukatili wa kutisha umewakuta watoto wawili wa familia tofauti wakidaiwa
kubakwa na wazazi wao huku mmoja akifanyiwa unyama huo na baba yake
mzazi na mwingine baba yake mdogo.
Habari zilizopatikana kutoka kwa
ndugu, wazazi na majirani wa watoto hao zilisema kuwa wote walifanyiwa
ukatili huo siku moja kwa nyakati na mazingira tofauti wilayani Temeke,
Dar hivi karibuni.
Watoto hao ambao
↧