Askari saba wa Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ), waliouawa katika jimbo la Darfur nchini
Sudan, wanatarajiwa kuagwa leo kwenye viwanja vya makao makuu ya jeshi
hilo.
Miili ya
wanajeshi hao iliwasili nchini juzi kwa ndege maalumu katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu J. K Nyerere, Terminal One na kwenda
kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Lugalo jijini Dar es
↧