Ikiwa ni takribani mwezi mmoja tu tangu bomu lilipolipuka kwenye mkutano
wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, jana
tukio kama hilo lilitokea jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa Mbunge
wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, ambao aliutishia kwa lengo la
kuwaelezea wananchi mrejesho wa yaliyojiri bungeni hivi karibuni na
kuhamasisha wananchi kushiriki kutoa maoni kwenye
↧