MGANGA Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Dodoma, Dk Ezekiel Mpuya amesema
tangazo lililotolewa hospitalini hapo la kuwataka watu kuvaa mavazi ya
heshima wanapoingia hospitalini hapo lilikuwa likihusu watumishi wa
hospitali hiyo na si wananchi wa kawaida.
Akizungumzia suala hilo juzi, Dk Mpuya alisema kuwa Katibu wa
Hospitali hiyo alitoa tangazo hilo kimakosa hali ambayo ilisababisha
↧