MWIGIZAJI wa kike wa filamu na muziki Bongo zuwena Mohamed ‘Shilole’
amemtangazia hali ya hatari msanii mwenzake wa filamu na mtangazaji wa
televisheni Christina John ‘ Sintah’ kuwa popote atakapomkuta lazima
amchape kwa kipigo ambacho hatasahau katika maisha yake...
Shilole ametoa kauli hiyo kufuatia kuandikwa na mwanadada huyo katika mtandao wake akimbeza
kwa kejeli.
.
“Ni kweli sisi
↧