Siri za wizi uliotokea Makao Makuu ya Polisi mkoani Mwanza
zimeanza kuvuja ambapo imebainika kuwa kompyuta aina ya laptop
zilizoibwa ndani ya chumba cha vielelezo zilikuwa za ushahidi wa kesi ya
wezi wa mashine za kuchukulia fedha(ATM).
Katika wizi huo wa benki ambao ulifanyika kwenye
mashine za ATM mbalimbali na watuhumiwa watatu kunaswa Februari 10,
↧