Baraka za mwezi Mtukufu wa Ramadhan zimeitembelea familia ya Baba
Qayllah, Shetta Bilal. Baada ya miaka mingi ya maelewano hafifu na baba
yake mzazi, leo baba na mwanae wameamua kusameheana
Kupitia Instagram, Shetta amepost picha (hiyo juu) akiwa na baba yake
mzazi Mzee Bilal ambaye ni Sheikh, pamoja na mdogo wake Awab na
kuandika: Wit my daddy n my young broda Awab….. #happyday baada
↧