SIKU chache baada ya Mahakama kumuachia kwa dhamana mshitakiwa
mwenza wa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, Joseph Ludovick, amefunguka na
kuelezea tuhuma ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake, ikiwamo uhusiano
wake na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba.
Ludovick, ambaye anadaiwa kurubuniwa na
↧