WATU wasiofahamika idadi yao wanaodhaniwa wezi, wameiba vielelezo katika
stoo ndogo ya Kituo Kikuu cha Polisi Kati, Wilaya ya Nyamagana, mkoani
Mwanza baada ya kuvunja madirisha.Tukio la wizi huo lilifanyika
Julai 15, mwaka huu, majira ya usiku wa kuamkia Jumatano katika jengo la
Polisi Wilaya ya Nyamagana.Akizungumza na gazeti la MAJIRA
jana, Kamanda wa Polisi Mkoa Naibu Kamishna wa
↧