UBAGUZI baina ya vyama vya upinzani
uliopata nguvu bungeni wakati wa kuanzisha Kambi Rasmi ya Upinzani chini
ya Chadema, umeanza kutafuna chama hicho chenye ushawishi mkubwa kuliko
vyama vingine vya upinzani Tanzania Bara.
Uundwaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani
bungeni, ulitokana na msimamo wa Chadema yenye wabunge wengi bungeni,
kukataa kushirikisha vyama vingine vya upinzani,
↧