CHAMA cha watoa huduma za mitandao (intaneti) Tanzania (TISPA)
kimeilalamikia sheria mpya ya kodi na ushuru wa bidhaa hiyo
iliyotangazwa hivi karibuni na serikali kwa kusema itachangia ongezeko
la gharama za huduma hiyo kwa watumiaji wa kawaida.Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa TISPA,
Gregory Almeida, alisema kuongezeka kwa gharama hizo kutafanya
↧