<!-- adsense -->
Mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa wanachama na viongozi wake.UTANGULIZI1.1
Mnamo tarehe 03/06/2013 Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilitangaza rasimu
ya kwanza ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.1.2 Rasimu hii ya Katiba itajadiliwa katika mfumo wa aina mbili wa mabaraza:Mabaraza ya Katiba ya
↧