Hit maker wa Muziki Gani, Nay Wa Mitego ametuma salamu kwa mwandaaji
ya shindano la Bongo Star Search, Rita Paulsen kuhusu zawadi wanayopewa
washindi wa shindano hilo ambayo huwa haiwafikishi popote.
“Hizi Salamu ziende kwa Madam Rita na bongo star search. Mshindi
analipwa nini mbona kama magumashi?! Namuona Walter Chilambo kapigika km
zamani, haji ramadhani kachoka yupo kitaani.
↧