Mnamo tarehe 21/07/2012 majira ya saa 23:30hrs huko kijiji cha
Nkwangu wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, Seni s/o Sandu, miaka 20,
Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu aliuawa kwa kupigwa fimbo kichwani
na Tolo s/o Seko, miaka 20, Msukuma, mkulima na mkazi wa Nkwangu.
Chanzo ni ugomvi wa kumgombania msichana aitwaye Holo d/o Kulwa, miaka 16, Msukuma mkulima na mkazi wa Nkwangu.
Mtuhumiwa
↧