NYOTA wa filamu za Kibongo, Irene Pancras Uwoya ‘Mama Krrish’ ametoa
kali ya mwaka baada ya kudai kwamba amemshika ugoni msanii mwenzake,
Lucy Komba mara baada ya kuziona picha za msanii huyo akiwa na mumewe,
Hamad Ndikumana ‘Kataut’ wakiigiza filamu.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu kutokea nchini
Swaziland, Uwoya amepinga vikali utetezi unaosemwa kwamba Lucy na
↧