LICHA ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani watu wengi kuogopa kufanya maovu,
jimama anayekwenda kwa jina la Joyce Benson (34), amefumwa akifanya
ngono katika makaburi ya Malapa, Buguruni jijini Dar.
Joyce amekamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi iliyopita saa nane katika
maeneo hayo akifanya biashara haramu ya kuuza mwili wake katika makaburi
hayo kwa njia ya kujipatia fedha.
Joyce mwenye umbile la
↧