KIVAZI cha ndugu wa maharusi, kimesababisha patashika katika Kanisa
Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Peter, baada ya Paroko Msaidizi wa Kanisa
hilo, Padri Paulo Haule, kusitisha ibada mpaka mhusika atoke akavae
vizuri.
“Ninatoa dakika 10 kwa aliyeingia na mavazi ambayo hayatakiwi
kanisani humu kutoka mara moja akavae vizuri, la sivyo ndoa yao
haitafungwa,” alisema Padri Haule wa Kanisa
↧