Jumatatu usiku (July 22) Beyonce alikuwa na show huko Montreal, Canada...
Wakati anaimba wimbo wake wa ‘Hallo’ ghafla nywele zake zikanaswa na
feni iliyokuwa nyuma yake jukwaani hapo, nina uhakika kwa msanii
mwingine angeweza hata kupoteza mwelekeo na huenda ingemharibia show..
Lakini uzoefu na kujiamini vilimsaidia Bey mama wa mtoto mmoja (Blue
Ivy) ambaye hakutetereka na aliendelea
↧