Mwenyekiti wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani bungeni Freeman
Mbowe le amekamatwa na Jeshi la polisi nchini na kuwekwa chini ya
ulinzi mkali kwa takribani masaa matatu.
Taarifa zinadai kwamba, Mbowe alitiwa nguvuni na polisi baada ya kuwatuhumu kuhusika na mlipuko wa bomu la arusha katika mkutano wa CHADEMA.
Kuachiwa huru kwa Mbowe kumetokana na majadiliano ya kina kati ya polisi
↧