Makahaba wamekodisha jumba na kuligeuza kuwa jumba la ngono kwa kuuza
ngono mchana kweupe na raha zao. Tukio hilo limetokea katika jimbo la
Nyeri, nchini kenya, kitu kilichowafanya wakazi wa eneo la tukio
kulalamika na kupinga vitendo hivyo<!-- adsense -->