Inaripotiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Polisi katika wilaya ya Mufindi, PCD
Ambwene Manyasi amewataka waganga wa jadi kuacha mara moja kuwapatia
majambazi dawa za kutokukamatwa na polisi, na badala yake waganga hao
wawapatie askari polisi dawa za kuwaona na kuwakamata wahalifu.Eliasa
Ally wa gazeti la Majira anaripoti kutoka Mufindi kuwa kauli na wito
huo umetolewa na OCD huyo katika Ukumbi wa
↧