CHAMA cha
demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kuanza kutoa mafunzo ya kujihami
kwa vijana wao maarufu kama Red brigedi kuanzia Agosti mosi, mwaka huu.
Akitangaza
tarehe hiyo jana wakati wa mkutano wa chama hicho uliofanyika Mbalizi wilaya ya
Mbeya Vijijini, kiongozi wa ulinzi wa chama hicho kanda ya Nyanda za juu kusini
Lucas Mwampiki, alisema kuwa ameamua kuweka wazi adhima
↧