MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, leo imeiaharisha kesi inayomkabili
msanii wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a
Annaconda dhidi ya uongozi wa Clouds Media Group hadi Agosti 2, mwaka
huu.Kesi hiyo ya madai iliyopo mbele ya Hakimu Athumani
Nyamlani, leo ililetwa kwa ajili ya kusikilizwa lakini ilishindikana
kutokana na wakili anayemtetea, Jaydee kutotokea
↧