Kiongozi wa Kanisa la Greek Orthodox duniani, Papa Theodor’s II
ameamuru kufungwa kwa ukumbi uliopo ndani ya eneo la kanisa hilo
lililopo Kiwanja Namba 7509 katika Barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini
Dar es Salaam kufuatia kuwepo kwa picha za utupu za wanawake ukutani..
Papa huyo alifikia uamuzi huo Februari 19, mwaka huu baada ya kutua nchini ambapo alifanya mazungumzo na Rais Jakaya
↧