Kumekuwa
na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa na hitilafu ya kiufundi na
hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa tayari
wameshahakiki taarifa zao wanapaswa kurejea kujaza upya ama kuhakiki
iwapo taarifa zao zipo mtandaoni.Bodi inatumia fursa hii
kuwajulisha Wanafunzi husika, Vyuo vya Elimu ya Juu na Umma kwa
↧