Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad
Slaa, amemkosoa Rais Jakaya Kikwete, kuhusu kauli yake ya kumshauri Rais wa
Rwanda, Paul Kagame, kuzungumza na waasi wa serikali yake ...
Dk. Slaa amesema haoni busara kwa Rais Kikwete kuwaambia viongozi wa
Rwanda, akiwamo Rais Kagame, kuzungumza na wafuasi wa chama cha FDRL
walioko Congo.
Slaa aliyasema hayo
↧