Mamia ya wahamiaji haramu kutoka nchini Rwanda wakiwa na ng’ombe
zaidi 900 wameanza kuondoka nchini kurejea kwao kutokana na agizo la
Rais Jakaya Kikwete kuwataka waondoke Tanzania kabla ya siku 14.
Aidha, imeelezwa kuwa kumekuwapo ongezeko la
askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mkoani Kagera hasa
wilayani Ngara hali inayozua hofu kwa baadhi ya
↧