<!-- adsense -->
Ongezeko la makahaba mjini Dodoma limeendelea kuwa kero kwa chuo kikuu cha Dodoma na wanafunzi wake kwa ujumla....
Kero hiyo imekuwa ikisababishwa na baadhi ya makahaba hao kujifanya wanafunzi wa chuo hicho kwa lengo la kujiimarisha kibiashara...
Takribani miezi mitatu iliyopita, kahaba mmoja alinasawa na polisi mjini Dodoma akijiuza
↧