SERIKALI imenasa kanda za video zinazomuonyesha Kiongozi wa Jumuiya
na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda, akitoa mahubiri
yanayowahamasisha waumini wa dini ya Kiislamu kuanzisha uasi dhidi ya
serikali.Tukio la kunaswa kwa kanda hizo limekuja ikiwa ni siku
chache baada ya Jeshi la Polisi Zanzibar kutangaza kumsaka Sheikh Ponda
kwa tuhuma za uchochezi, akingali anatumikia
↧