OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imesema Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) hakina ubavu wa kumkataa au kutomtambua John Tendwa
kuwa ndiye msajili wa vyama vya siasa nchini.
Kauli hiyo ilitolewa jana na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasai,
Rajab Baraka alipozungumza na MTANZANIA kuhusu kauli iliyotolewa na
Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa aliyedai chama hicho
↧