KAULI ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ya kubariki vyombo vya dola
kuendeleza kipigo kwa raia wanaokaidi amri imechukua sura mpya baada ya
Kituo cha Sheria na Haki za Bindamu (LHRC) kutangaza kumburuza
mahakamani wiki hii kutokana na kushindwa kufuta kauli yake.
Juni 20, mwaka huu, wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo bungeni,
Waziri Mkuu, Pinda, alivitaka vyombo vya dola kuendelea
↧