Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya CCM,
Iddi Azzan, aliyetajwa kwenye barua inayosadikiwa kuandikwa na wafungwa
Wakitanzania waliopo Hong Kong “amejilisalimisha” kwenye ofisi za jeshi
la polisi na kulitaka jeshi hilo lifanye uchunguzi dhidi ya tuhuma
zilizoelekezwa kwake, ili hatua nyingine na ikibidi sheria, vichukue
mkondo wake.Azzan amesema alienda
↧