KAHABA mmoja katika mji wa Naivasha, jimbo la Rift Valley nchini Kenya
amenusurika kufa baada ya kupewa kichapo kikali na makahaba wenzake wakimtuhumu kujiuza kwa bei ndogo na kuwaharibia soko.
Wenzake hao wenye hasira walimtwanga kahaba huyo kwa ngumi
wakimshutumu kwa kutokuwa na ushirikiano na kuwaharibia soko hasa ikizingatiwa kuwa hivi sasa ni kipindi cha
↧