MBUNGE wa
Kinondoni (CCM), Idd Azzan, amesema yupo tayari kujiuzulu ubunge, ikiwa
itabainika anajihusisha biashara ya dawa za kulevya. Kauli hiyo imekuja
siku chache baada ya kutajwa katika moja ya barua iliyosambazwa katika
mitandao ya kijamii, baada ya mtu anayedaiwa kukamatwa China na
kuwatuhumu watu kadhaa akiwamo Idd Azzan.
Akizungumza na
MTANZANIA jana kuhusu sakata hilo, alisema
↧
"NIPO TAYARI KUJIUZULU ENDAPO ITABAINIKA NAUZA MADAWA YA KULEVYA'.....MBUNGE WA CCM (AZZAN) AFUNGUKA
↧