HOFU kubwa imetawala Kanisa Katoliki Parokia ya Uru iliyopo Wilaya ya
Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro, kutokana na matukio kadhaa
yanayoendelea kutokea katika kanisa hilo huku baadhi ya watu
wakiyahusisha na imani za kishirikina.
Katekista wa parokia hiyo,
Lucian Tesha, aliwaambia waamini waliokusanyika katika ibada ya misa ya
kwanza kanisani hapo juzi Jumapili kuwa usalama katika
↧