Zaidi ya wanawake tisini wanaofanya biashara ya ngono wilayani Kahama
mkoani Shinyanga wanatarajia kunufaika na mradi mpya wa kuwakomboa
kutoka kwenye biashara hiyo, unaoratibiwa na HUHESO Foundation kwa
ufadhili wa Rapid Funding Envelop (RFE).Hayo yameelezwa leo na
Mkurugenzi wa shirika hilo Juma Mwesigwa wakati wa utambulisho wa mradi
huo kwa wadau na waandishi wa habari katika kikao
↧