Kumekuwepo na jitihada
za makusudi za chadema, baadhi ya magazeti yanayofanya kazi ya uenezi ya
chadema na wafuasi wa chadema kufanya kila njama kunichafulia jina kwa
sababu na manufaa yao wayajuayo wenyewe. 1) Leo (Alhamisi) wameibuka na
kihoja kuwa Dr Slaa hatarini, wameweka na picha yangu. Hivi mimi
nihangaike na Dr Slaa wa nini? Kwanza mimi ndio naanza siasa, na yeye
ndio anamaliza,
↧