TUME ya Kudhibiti UKIMWI nchini (TACAIDS) imesema mkoa wa Njombe
unaongoza kwa kuwa na maambukizi makubwa ya Virusi vya UKIMWI kwa
asilimia 14.8 ikifuatiwa na Iringa kwa asilimia 9.1.Mkoa wa
Mbeya unashika nafasi ya nne kwa asilimia tisa ukifuatiwa na Ruvuma
(7.2), Shinyanga (7.4), Dar es Salaam (6.9) Rukwa (6.2), Katavi (5.9),
Pwani (5.9),Tabora (5.1), Kagera (4.8) na Geita (4.7).
↧