Chokochoko zinazoendelezwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame (pichani)
dhidi ya Rais Jakaya Kikwete zimewakasirisha baadhi ya wananchi wakiwemo
askari wa Tanzania na wakadai kuwa kiongozi huyo wa Rwanda atakiona cha
moto akianza uchokozi.
Wakizungumza na gazeti la UWAZI mwishoni mwa wiki
iliyopita kwa sharti la kutoandikwa majina yao gazetini, baadhi ya
askari walisema wanamshangaa
↧