HABARI zilizochimbuliwa kwa undani zinadai kuwa tayari vigogo wawili
waishio nchini wamebanwa na Jeshi la Polisi Tanzania wakituhumiwa
kumtuma Masogange kupeleka madawa ya kulevya nchini Afrika Kusini.
Kwa mujibu wa habari hizo, vigogo hao (majina tunayo) walidakwa wiki
iliyopita kila mmoja kwa wakati wake na kuhojiwa katika Kituo Kikuu cha
Polisi (Central), jijini Dar ambako walihojiwa
↧