BAADA ya kutoka nchini Msumbiji akiwa hoi, msanii wa vichekesho Bongo,
Tumaini Mwakibibi ‘Matumaini’ hatimaye amepata nguvu na ameanza
kujikongoja katika kazi ya uigizaji.
Akiongea na mwandishi wetu hivi karibuni, Matumaini alisema kwa sasa
anaendelea vizuri na ameshaanza kucheza filamu mbalimbali
anazoshirikishwa na wasanii wenzake na sasa anaendesha maisha yake
mwenyewe.
“
↧