-Imeandikwa na Dinah.
Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini
wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa,
wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake.
Umewahi kusikia wanawake wa Kitanzania wanalalamika au
kukimbia "mziki mnene" lakini wanawake wa Kizungu wanafurahia?
Kwa mujibu wa maelezo ya Daktari
Bingwa wa Magonjwa
↧